Ee Mungu Nguvu Yetu este imnul național din Kenya.

Versuri Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu. Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na udugu. Amani na uhuru Raha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetu Tufanye sote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya, Tunayo ipenda Tuwe tayari kuilinda.

Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani.

Categorie:Imnuri naționale Categorie:Kenya